Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Walawi 9:12 - Swahili Revised Union Version

12 Naye akaichinja sadaka ya kuteketezwa; na wanawe Haruni wakamsogezea ile damu, naye akainyunyiza katika madhabahu pande zote.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Kisha Aroni akamchinja mnyama wa sadaka ya kuteketezwa. Wanawe wakamletea damu, naye akainyunyizia madhabahu pande zote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Kisha Aroni akamchinja mnyama wa sadaka ya kuteketezwa. Wanawe wakamletea damu, naye akainyunyizia madhabahu pande zote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Kisha Aroni akamchinja mnyama wa sadaka ya kuteketezwa. Wanawe wakamletea damu, naye akainyunyizia madhabahu pande zote.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Kisha Haruni akachinja sadaka ya kuteketezwa. Wanawe wakamletea damu, naye akainyunyiza pande zote za madhabahu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Kisha Haruni akachinja sadaka ya kuteketezwa. Wanawe wakamletea damu, naye akainyunyiza pande zote za madhabahu.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

12 Naye akaichinja sadaka ya kuteketezwa; na wanawe Haruni wakamsogezea ile damu, naye akainyunyiza katika madhabahu pande zote.

Tazama sura Nakili

Walawi 9:12
9 Marejeleo ya Msalaba  

Haruni akamwambia Musa, Angalia, hivi leo wamesongeza sadaka yao ya dhambi, na sadaka yao ya kuteketezwa, mbele za BWANA; kisha mambo kama haya yamenipata; tena kama ningalikula hiyo sadaka ya dhambi hivi leo, je! Lingekuwa ni jambo la kupendeza mbele za macho ya BWANA?

Na nyama, na ngozi akaziteketeza nje ya kambi.

Nao wakamletea sadaka ya kuteketezwa kipande kwa kipande, na kichwa; naye akaviteketeza juu ya madhabahu.

Kisha akaisongeza sadaka ya kuteketezwa, na kuitoa kulingana na sheria.

Kisha wana wa Haruni wakamsogezea Haruni ile damu; naye akatia kidole chake katika damu, na kuitia katika pembe za madhabahu, kisha akaimwaga hiyo damu hapo chini ya madhabahu;

mkaende katika upendo, kama Kristo naye alivyowapenda ninyi tena akajitoa kwa ajili yetu, sadaka na dhabihu kwa Mungu, kuwa harufu ya manukato.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo