Biblia ya mtandaoni

Matangazo

Biblia nzima Agano la Kale Agano Jipya

Walawi 7:4 - Swahili Revised Union Version

na figo zake mbili, na mafuta yaliyoshikamana nazo, yaliyo karibu na kiuno chake, na kitambi kilicho katika ini, pamoja na figo zake mbili, hayo yote atayaondoa;

Tazama sura

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

pamoja na zile figo mbili pamoja na mafuta yake na ile sehemu bora ya ini.

Tazama sura

Biblia Habari Njema - BHND

pamoja na zile figo mbili pamoja na mafuta yake na ile sehemu bora ya ini.

Tazama sura

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

pamoja na zile figo mbili pamoja na mafuta yake na ile sehemu bora ya ini.

Tazama sura

Neno: Bibilia Takatifu

figo zote mbili pamoja na mafuta yanayozifunika karibu na kiuno, na kipande kirefu cha ini, ambayo yataondolewa pamoja na hizo figo.

Tazama sura

Neno: Maandiko Matakatifu

figo zote mbili pamoja na mafuta yanayozizunguka yaliyo karibu na kiuno na yale yanayofunika ini, ambayo yataondolewa pamoja na hizo figo.

Tazama sura

BIBLIA KISWAHILI

na figo zake mbili, na mafuta yaliyoshikamana nazo, yaliyo karibu na kiuno chake, na kitambi kilicho katika ini, pamoja na figo zake mbili, hayo yote atayaondoa;

Tazama sura
Tafsiri zingine

Walawi 7:4
4 Marejeleo ya Msalaba  

Kisha twaa mafuta yote yafunikayo matumbo, na kitambi kilicho katika ini, na figo mbili, na mafuta yaliyo juu yake, uyateketeze yote juu ya madhabahu.

na figo zake mbili, na mafuta yaliyoshikamana nazo, yaliyo karibu na kiuno chake, na kitambi kilicho katika ini pamoja na hizo figo mbili; hayo yote atayaondoa.

na figo zake mbili, na mafuta yaliyoshikamana nazo, yaliyo karibu na kiuno, na hicho kitambi kilicho katika ini, pamoja na hizo figo; hayo yote atayaondoa.

na kuhani atayateketeza juu ya madhabahu, kuwa dhabihu kwa BWANA kwa njia ya moto; ni sadaka ya hatia.