Waebrania 5:6 - Swahili Revised Union Version Kama asemavyo mahali pengine, Ndiwe kuhani milele Kwa mfano wa Melkizedeki. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Alisema pia mahali pengine: “Wewe ni kuhani milele, kwa utaratibu wa ukuhani wa Melkisedeki.” Biblia Habari Njema - BHND Alisema pia mahali pengine: “Wewe ni kuhani milele, kwa utaratibu wa ukuhani wa Melkisedeki.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Alisema pia mahali pengine: “Wewe ni kuhani milele, kwa utaratibu wa ukuhani wa Melkisedeki.” Neno: Bibilia Takatifu Pia mahali pengine asema, “Wewe ni kuhani milele, kwa mfano wa Melkizedeki.” Neno: Maandiko Matakatifu Pia mahali pengine asema, “Wewe ni kuhani milele, kwa mfano wa Melkizedeki.” BIBLIA KISWAHILI Kama asemavyo mahali pengine, Ndiwe kuhani milele Kwa mfano wa Melkizedeki. |
alimoingia Yesu kwa ajili yetu, mtangulizi wetu, amekuwa kuhani mkuu hata milele kwa mfano wa Melkizedeki.
Basi, kama ukamilifu ulikuwapo kwa ukuhani wa Lawi; (maana watu wale waliipata sheria kwa huo); kulikuwa na haja gani tena ya kuhani mwingine awepo, kwa mfano wa Melkizedeki, wala asihesabiwe kwa mfano wa Haruni?
Tena hayo tusemayo ni dhahiri sana zaidi, ikiwa ametokea kuhani mwingine kama Melkizedeki;
(maana wale walifanywa makuhani pasipo kiapo; bali yeye, pamoja na kiapo, kwa yeye aliyemwambia, Bwana ameapa wala hataghairi, Wewe u kuhani milele;)
hana baba, hana mama, hana wazazi, hana mwanzo wa siku zake, wala mwisho wa uhai wake, bali amefananishwa na Mwana wa Mungu); huyo adumu kuhani milele.
Na hapa wanadamu wapatikanao na kufa hutwaa sehemu ya kumi; bali huko yeye ashuhudiwaye kwamba yuko hai.