Na Melkizedeki mfalme wa Salemu akaleta mkate na divai, naye alikuwa kuhani wa Mungu Aliye Juu Sana.
Waebrania 5:10 - Swahili Revised Union Version kisha ametajwa na Mungu kuwa kuhani mkuu kwa mfano wa Melkizedeki. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema naye Mungu akamteua kuwa kuhani mkuu kwa utaratibu wa ukuhani wa Melkisedeki. Biblia Habari Njema - BHND naye Mungu akamteua kuwa kuhani mkuu kwa utaratibu wa ukuhani wa Melkisedeki. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza naye Mungu akamteua kuwa kuhani mkuu kwa utaratibu wa ukuhani wa Melkisedeki. Neno: Bibilia Takatifu Naye amewekwa na Mungu kuwa Kuhani Mkuu kwa mfano wa Melkizedeki. Neno: Maandiko Matakatifu Naye amewekwa na Mungu kuwa Kuhani Mkuu kwa mfano wa Melkizedeki. BIBLIA KISWAHILI kisha ametajwa na Mungu kuwa kuhani mkuu kwa mfano wa Melkizedeki. |
Na Melkizedeki mfalme wa Salemu akaleta mkate na divai, naye alikuwa kuhani wa Mungu Aliye Juu Sana.
Hivyo ilimpasa kufananishwa na ndugu zake katika mambo yote, apate kuwa kuhani mkuu mwenye rehema, mwaminifu katika mambo ya Mungu, ili afanye kafara ya suluhu kwa dhambi za watu wake.
Kwa hiyo, ndugu watakatifu, wenye kuushiriki mwito wa mbinguni, mtafakarini sana Mtume na Kuhani Mkuu wa maungamo yetu, Yesu,
Yeye ambaye tuna maneno mengi ya kunena kuhusu habari zake; na ni shida kuyaeleza kwa kuwa mmekuwa wavivu wa kusikia.
alimoingia Yesu kwa ajili yetu, mtangulizi wetu, amekuwa kuhani mkuu hata milele kwa mfano wa Melkizedeki.