Biblia ya mtandaoni

Matangazo

Biblia nzima Agano la Kale Agano Jipya

Waebrania 12:8 - Swahili Revised Union Version

Basi kama mkiwa hamna kurudiwa, ambako ni fungu la wote, ndipo mmekuwa wana wa haramu ninyi, wala si wana wa halali.

Tazama sura

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

Lakini msipoadhibiwa kama wana wengine, basi, nyinyi si wanawe, bali ni wana haramu.

Tazama sura

Biblia Habari Njema - BHND

Lakini msipoadhibiwa kama wana wengine, basi, nyinyi si wanawe, bali ni wana haramu.

Tazama sura

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

Lakini msipoadhibiwa kama wana wengine, basi, nyinyi si wanawe, bali ni wana haramu.

Tazama sura

Neno: Bibilia Takatifu

Kama hakuna kuadibishwa (ambalo ni fungu la watoto wote), basi ninyi ni watoto haramu, wala si watoto halali.

Tazama sura

Neno: Maandiko Matakatifu

Kama hakuna kuadibishwa (ambalo ni fungu la watoto wote), basi ninyi ni watoto wa haramu wala si watoto halali.

Tazama sura

BIBLIA KISWAHILI

Basi kama mkiwa hamna kurudiwa, ambako ni fungu la wote, ndipo mmekuwa wana wa haramu ninyi, wala si wana wa halali.

Tazama sura
Tafsiri zingine

Waebrania 12:8
5 Marejeleo ya Msalaba  

Hakika Mungu ni mwema kwa Israeli, Kwa hao walio safi mioyo yao.

Ila tuhukumiwapo, twarudiwa na Bwana, isije ikatupasa adhabu pamoja na dunia.

Maana yeye ambaye Bwana ampenda, humuonya Naye humpiga kila mwana amkubaliye.