Waebrania 10:18 - Swahili Revised Union Version Basi, ondoleo la hayo likiwapo, hapana toleo tena kwa ajili ya dhambi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, dhambi zikisha ondolewa, hakutakuwa na haja tena ya kutoa tambiko za kuondoa dhambi. Biblia Habari Njema - BHND Basi, dhambi zikisha ondolewa, hakutakuwa na haja tena ya kutoa tambiko za kuondoa dhambi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, dhambi zikisha ondolewa, hakutakuwa na haja tena ya kutoa tambiko za kuondoa dhambi. Neno: Bibilia Takatifu Basi haya yaliposamehewa, hakuna tena dhabihu yoyote inayohitajika kwa ajili ya dhambi. Neno: Maandiko Matakatifu Basi haya yakiisha kusamehewa, hakuna tena dhabihu yoyote inayotolewa kwa ajili ya dhambi. BIBLIA KISWAHILI Basi, ondoleo la hayo likiwapo, hapana toleo tena kwa ajili ya dhambi. |
Kama ndivyo, je! Dhabihu hazingekoma kutolewa; kwa maana waabuduo, wakiisha kusafishwa mara moja, wasingejiona tena kuwa na dhambi?