Waebrania 10:18 - Swahili Revised Union Version18 Basi, ondoleo la hayo likiwapo, hapana toleo tena kwa ajili ya dhambi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Basi, dhambi zikisha ondolewa, hakutakuwa na haja tena ya kutoa tambiko za kuondoa dhambi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Basi, dhambi zikisha ondolewa, hakutakuwa na haja tena ya kutoa tambiko za kuondoa dhambi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Basi, dhambi zikisha ondolewa, hakutakuwa na haja tena ya kutoa tambiko za kuondoa dhambi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Basi haya yaliposamehewa, hakuna tena dhabihu yoyote inayohitajika kwa ajili ya dhambi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Basi haya yakiisha kusamehewa, hakuna tena dhabihu yoyote inayotolewa kwa ajili ya dhambi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 Basi, ondoleo la hayo likiwapo, hapana toleo tena kwa ajili ya dhambi. Tazama sura |