Ametoa kwa ukarimu, na kuwapa maskini, Haki yake yakaa milele, Pembe yake itatukuzwa kwa utukufu.
Ruthu 2:16 - Swahili Revised Union Version Tena mtoleeni kidogo katika matita na kukiacha, na akiokote, wala msimkataze. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Zaidi ya hapo, vuteni masuke kutoka katika matita na mumwachie aokote bila kumkaripia.” Biblia Habari Njema - BHND Zaidi ya hapo, vuteni masuke kutoka katika matita na mumwachie aokote bila kumkaripia.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Zaidi ya hapo, vuteni masuke kutoka katika matita na mumwachie aokote bila kumkaripia.” Neno: Bibilia Takatifu Badala yake, toeni masuke katika miganda, mwachieni ayaokote, na msimkemee.” Neno: Maandiko Matakatifu Badala yake, toeni masuke katika miganda, mwachieni ayaokote, na msimkemee.” BIBLIA KISWAHILI Tena mtoleeni kidogo katika matita na kukiacha, na akiokote, wala msimkataze. |
Ametoa kwa ukarimu, na kuwapa maskini, Haki yake yakaa milele, Pembe yake itatukuzwa kwa utukufu.
Na Mfalme atajibu, akiwaambia, Amin, nawaambia, kadiri mlivyomtendea mmojawapo wa hao ndugu zangu walio wadogo, mlinitendea mimi.
Maana nilikuwa na furaha nyingi na faraja kwa sababu ya upendo wako, kwa kuwa mioyo ya watakatifu imeburudishwa nawe, ndugu yangu.
Maana Mungu si dhalimu hata aisahau kazi yenu, na pendo lile mlilolidhihirisha kwa jina lake, kwa kuwa mmewahudumia watakatifu, na hata hivi sasa mngali mkiwahudumia.
Naye alipoinuka tena ili aende kuokota masazo, huyo Boazi aliwaagiza vijana wake akisema, Mwacheni aokote hata kati ya miganda, wala msimkemee.
Basi Ruthu akaokota mabaki shambani hadi jioni; kisha akazipura zile nafaka alizoziokota, zikawa yapata efa moja ya shayiri.