Wana wa Shefatia, mia tatu sabini na wawili.
wa ukoo wa Shefatia: 372;
wazao wa Shefatia, mia tatu sabini na wawili (372);
Wazawa wa Shefatia, mia tatu sabini na wawili.
Na wa wana wa Shefatia, Zebadia, mwana wa Mikaeli; na pamoja naye wanaume themanini.
Wana wa Ara mia sita hamsini na wawili.
Wana wa Paroshi, elfu mbili mia moja sabini na wawili.