Na wa Israeli; wa wazawa wa Paroshi; Ramia, na Izia, na Malkiya, na Miyamini, na Eleazari, na Malkiya, na Benaya.
Nehemia 7:8 - Swahili Revised Union Version Wana wa Paroshi, elfu mbili mia moja sabini na wawili. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Watu wa ukoo wa Paroshi: 2,172; Biblia Habari Njema - BHND Watu wa ukoo wa Paroshi: 2,172; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Watu wa ukoo wa Paroshi: 2,172; Neno: Bibilia Takatifu wazao wa Paroshi, elfu mbili mia moja sabini na wawili (2,172); BIBLIA KISWAHILI Wana wa Paroshi, elfu mbili mia moja sabini na wawili. |
Na wa Israeli; wa wazawa wa Paroshi; Ramia, na Izia, na Malkiya, na Miyamini, na Eleazari, na Malkiya, na Benaya.
wa wana wa Paroshi, Zekaria; na pamoja naye wakahesabiwa kwa nasaba wanaume mia moja na hamsini.
ndio hawa waliokuja pamoja na Zerubabeli, Yoshua, Nehemia, Seraya, Reelaya, Nahamani, Mordekai, Bilshani, Mispari, Bigwai, Rehumu, na Baana. Hii ndiyo idadi ya watu wa watu wa Israeli;