Basi hilo kusanyiko lote nzima, jumla yake ilikuwa watu elfu arubaini na mbili na mia tatu na sitini,
Nehemia 7:66 - Swahili Revised Union Version Basi hilo kusanyiko lote zima, jumla yake ilikuwa watu elfu arubaini na mbili, mia tatu na sitini, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Watu wote waliorudi kutoka uhamishoni jumla yao ilikuwa 42,360. Biblia Habari Njema - BHND Watu wote waliorudi kutoka uhamishoni jumla yao ilikuwa 42,360. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Watu wote waliorudi kutoka uhamishoni jumla yao ilikuwa 42,360. Neno: Bibilia Takatifu Jumla ya watu wote waliorudi walikuwa elfu arobaini na mbili, mia tatu na sitini (42,360); Neno: Maandiko Matakatifu Jumla ya watu wote waliorudi walikuwa 42,360; BIBLIA KISWAHILI Basi hilo kusanyiko lote zima, jumla yake ilikuwa watu elfu arobaini na mbili, mia tatu na sitini, |
Basi hilo kusanyiko lote nzima, jumla yake ilikuwa watu elfu arubaini na mbili na mia tatu na sitini,
Na huyo Tirshatha akawaambia kwamba wasile katika vile vitu vitakatifu sana, hata atakaposimama kuhani mwenye Urimu na Thumimu.
tena zaidi ya hao, kulikuwa na watumishi wao wanaume kwa wanawake, ambao walikuwa elfu saba na mia tatu na thelathini na saba; kisha walikuwa na waimbaji wanaume kwa wanawake mia mbili arubaini na watano.