Nehemia 7:66 - Swahili Revised Union Version66 Basi hilo kusanyiko lote zima, jumla yake ilikuwa watu elfu arubaini na mbili, mia tatu na sitini, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema66 Watu wote waliorudi kutoka uhamishoni jumla yao ilikuwa 42,360. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND66 Watu wote waliorudi kutoka uhamishoni jumla yao ilikuwa 42,360. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza66 Watu wote waliorudi kutoka uhamishoni jumla yao ilikuwa 42,360. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu66 Jumla ya watu wote waliorudi walikuwa elfu arobaini na mbili, mia tatu na sitini (42,360); Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu66 Jumla ya watu wote waliorudi walikuwa 42,360; Tazama suraBIBLIA KISWAHILI66 Basi hilo kusanyiko lote zima, jumla yake ilikuwa watu elfu arobaini na mbili, mia tatu na sitini, Tazama sura |