Nehemia 7:43 - Swahili Revised Union Version Walawi; Wana wa Yeshua, wa Kadmieli wa wana wa Hodavia, sabini na wanne. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Walawi wa ukoo wa Yeshua, yaani Kadmieli, wazawa wa Hodavia waliorudi kutoka uhamishoni walikuwa 74. Biblia Habari Njema - BHND Walawi wa ukoo wa Yeshua, yaani Kadmieli, wazawa wa Hodavia waliorudi kutoka uhamishoni walikuwa 74. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Walawi wa ukoo wa Yeshua, yaani Kadmieli, wazawa wa Hodavia waliorudi kutoka uhamishoni walikuwa 74. Neno: Bibilia Takatifu Walawi: wazao wa Yeshua (kupitia Kadmieli kupitia jamaa ya Hodavia), sabini na wanne (74). Neno: Maandiko Matakatifu Walawi: BIBLIA KISWAHILI Walawi; Wana wa Yeshua, wa Kadmieli wa wana wa Hodavia, sabini na wanne. |
Basi hawa ndio viongozi wa jimbo waliokaa Yerusalemu; ila mijini mwa Yuda wakakaa kila mtu katika milki yake mijini mwao, yaani, Israeli, makuhani, na Walawi, na Wanethini, wazawa wa watumishi wa Sulemani.
Tena Walawi; Yeshua, Binui, Kadmieli, Sherebia, Yuda, na Matania, aliyekuwa juu ya shukrani, yeye na ndugu zake.