Nehemia 7:39 - Swahili Revised Union Version Makuhani; Wana wa Yedaya, wa mbari ya Yeshua, mia tisa sabini na watatu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ifuatayo ni idadi ya makuhani waliorudi kutoka uhamishoni: Makuhani wa ukoo wa Yedaya, waliokuwa wazawa wa Yeshua: 973; Biblia Habari Njema - BHND Ifuatayo ni idadi ya makuhani waliorudi kutoka uhamishoni: Makuhani wa ukoo wa Yedaya, waliokuwa wazawa wa Yeshua: 973; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ifuatayo ni idadi ya makuhani waliorudi kutoka uhamishoni: makuhani wa ukoo wa Yedaya, waliokuwa wazawa wa Yeshua: 973; Neno: Bibilia Takatifu Makuhani: wazao wa Yedaya (kwa jamaa ya Yeshua), mia tisa sabini na watatu (973); Neno: Maandiko Matakatifu Makuhani: BIBLIA KISWAHILI Makuhani; Wana wa Yedaya, wa mbari ya Yeshua, mia tisa sabini na watatu. |
Basi hawa ndio viongozi wa jimbo waliokaa Yerusalemu; ila mijini mwa Yuda wakakaa kila mtu katika milki yake mijini mwao, yaani, Israeli, makuhani, na Walawi, na Wanethini, wazawa wa watumishi wa Sulemani.