Watu wa Senaa, elfu tatu mia tisa na thelathini.
wa mji wa Senaa: 3,930.
wazao wa Senaa, elfu tatu mia tisa na thelathini (3,930).
Watu wa Senaa, elfu tatu mia sita na thelathini.
Na lango la samaki wakalijenga wana wa Senaa; wakazitia boriti zake, wakaisimamisha milango yake, na vyuma vyake, na makomeo yake.
Wana wa Lodi, na Hadidi, na Ono, mia saba ishirini na mmoja.
Makuhani; Wana wa Yedaya, wa mbari ya Yeshua, mia tisa sabini na watatu.