Nehemia 7:27 - Swahili Revised Union Version Watu wa Anathothi, mia moja ishirini na wanane. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema wa mji wa Anathothi: 128; Biblia Habari Njema - BHND wa mji wa Anathothi: 128; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza wa mji wa Anathothi: 128; Neno: Bibilia Takatifu watu wa Anathothi, mia moja ishirini na nane (128); BIBLIA KISWAHILI Watu wa Anathothi, mia moja ishirini na wanane. |
Maneno ya Yeremia, mwana wa Hilkia, mmoja wa makuhani waliokuwa katika Anathothi, katika nchi ya Benyamini;
Basi, kwa hiyo, BWANA asema hivi, juu ya watu wa Anathothi, watakao uhai wako, wakisema, Hutafanya unabii kwa jina la BWANA, usije ukafa kwa mkono wetu.