Nehemia 3:2 - Swahili Revised Union Version Sehemu iliyofuata ilijengwa na watu wa Yeriko. Na baada yao Zakuri mwana wa Imri akajenga. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Sehemu iliyofuata ilijengwa upya na watu wa mji wa Yeriko. Baada ya hayo akafuata Zakuri mwana wa Imri kujenga ukuta. Biblia Habari Njema - BHND Sehemu iliyofuata ilijengwa upya na watu wa mji wa Yeriko. Baada ya hayo akafuata Zakuri mwana wa Imri kujenga ukuta. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Sehemu iliyofuata ilijengwa upya na watu wa mji wa Yeriko. Baada ya hayo akafuata Zakuri mwana wa Imri kujenga ukuta. Neno: Bibilia Takatifu Wanaume wa Yeriko wakajenga sehemu zilizopakana nao, naye Zakuri mwana wa Imri akajenga karibu nao. Neno: Maandiko Matakatifu Watu wa Yeriko wakajenga sehemu zilizopakana nao, naye Zakuri mwana wa Imri akajenga karibu nao. BIBLIA KISWAHILI Sehemu iliyofuata ilijengwa na watu wa Yeriko. Na baada yao Zakuri mwana wa Imri akajenga. |
Na lango la samaki wakalijenga wana wa Senaa; wakazitia boriti zake, wakaisimamisha milango yake, na vyuma vyake, na makomeo yake.