Nehemia 3:2 - Swahili Revised Union Version2 Sehemu iliyofuata ilijengwa na watu wa Yeriko. Na baada yao Zakuri mwana wa Imri akajenga. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Sehemu iliyofuata ilijengwa upya na watu wa mji wa Yeriko. Baada ya hayo akafuata Zakuri mwana wa Imri kujenga ukuta. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Sehemu iliyofuata ilijengwa upya na watu wa mji wa Yeriko. Baada ya hayo akafuata Zakuri mwana wa Imri kujenga ukuta. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Sehemu iliyofuata ilijengwa upya na watu wa mji wa Yeriko. Baada ya hayo akafuata Zakuri mwana wa Imri kujenga ukuta. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Wanaume wa Yeriko wakajenga sehemu zilizopakana nao, naye Zakuri mwana wa Imri akajenga karibu nao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Watu wa Yeriko wakajenga sehemu zilizopakana nao, naye Zakuri mwana wa Imri akajenga karibu nao. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Sehemu iliyofuata ilijengwa na watu wa Yeriko. Na baada yao Zakuri mwana wa Imri akajenga. Tazama sura |