Ghadhabu yao na ilaaniwe, maana ilikuwa kali, Na hasira yao, maana ilikuwa haina huruma. Nitawagawa katika Yakobo, Nitawatawanya katika Israeli.
Nehemia 11:36 - Swahili Revised Union Version Na wa Walawi, wengine walikaa katika Yuda na wengine katika Benyamini. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Baadhi ya Walawi wa Yuda walichanganyikana na watu wa Benyamini. Biblia Habari Njema - BHND Baadhi ya Walawi wa Yuda walichanganyikana na watu wa Benyamini. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Baadhi ya Walawi wa Yuda walichanganyikana na watu wa Benyamini. Neno: Bibilia Takatifu Baadhi ya makundi ya Walawi wa Yuda waliishi huko Benyamini. Neno: Maandiko Matakatifu Baadhi ya makundi ya Walawi wa Yuda waliishi huko Benyamini. BIBLIA KISWAHILI Na wa Walawi, wengine walikaa katika Yuda na wengine katika Benyamini. |
Ghadhabu yao na ilaaniwe, maana ilikuwa kali, Na hasira yao, maana ilikuwa haina huruma. Nitawagawa katika Yakobo, Nitawatawanya katika Israeli.
Basi, hawa ndio makuhani na Walawi waliopanda na Zerubabeli, mwana wa Shealueli, na Yoshua; Seraya, Yeremia, Ezra;