Na wana wa mkewe Hodia, dada yake Nahamu, walikuwa babaye Keila, Mgarmi, na Eshtemoa, Mmaaka.
Nehemia 10:10 - Swahili Revised Union Version na ndugu zao, Shebania, Hodia, Kelita, Pelaya, Hanani; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Na ndugu zao waliotia sahihi ni: Shebania, Hodia, Kelita, Pelaya, Hanani, Biblia Habari Njema - BHND Na ndugu zao waliotia sahihi ni: Shebania, Hodia, Kelita, Pelaya, Hanani, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Na ndugu zao waliotia sahihi ni: Shebania, Hodia, Kelita, Pelaya, Hanani, Neno: Bibilia Takatifu na wenzao: Shebania, Hodia, Kelita, Pelaya, Hanani, Neno: Maandiko Matakatifu na wenzao: Shebania, Hodia, Kelita, Pelaya, Hanani, BIBLIA KISWAHILI na ndugu zao, Shebania, Hodia, Kelita, Pelaya, Hanani; |
Na wana wa mkewe Hodia, dada yake Nahamu, walikuwa babaye Keila, Mgarmi, na Eshtemoa, Mmaaka.
Na wa Walawi; Yozabadi, na Shimei, na Kelaya (ndiye Kelita), na Pethahia, na Yuda, na Eliezeri.
Hata siku ya nne, hizo fedha na dhahabu na vile vyombo vilipimwa ndani ya nyumba ya Mungu, vikatiwa mikononi mwa Meremothi, mwana wa Uria, kuhani; na pamoja naye alikuwapo Eleazari, mwana wa Finehasi; na pamoja nao Yozabadi, mwana wa Yeshua, na Noadia, mwana wa Binui, Walawi;
Tena Walawi; Yeshua, Binui, Kadmieli, Sherebia, Yuda, na Matania, aliyekuwa juu ya shukrani, yeye na ndugu zake.
Baada yake Binui, mwana wa Henadadi, alitengeneza sehemu nyingine, kuanzia kwenye nyumba ya Azaria mpaka ugeukapo ukuu, na mpaka pembeni.
Tena Yeshua, na Bani, na Sherebia, na Yamini, na Akubu, na Shabethai, na Hodai, na Maaseya, na Kelita, na Azaria, na Yozabadi, na Hanani, na Pelaya, nao ni Walawi, wakawafahamisha watu torati; na watu wakasimama mahali pao.