katika kubariki nitakubariki, na katika kuzidisha nitauzidisha uzao wako kama nyota za mbinguni, na kama mchanga ulioko pwani; na uzao wako utamiliki lango la adui zao;
Mwanzo 9:9 - Swahili Revised Union Version Tazama, nilithibitisha agano langu nanyi; tena na uzao wenu baada yenu; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Ninaweka agano langu nanyi na wazawa wenu Biblia Habari Njema - BHND “Ninaweka agano langu nanyi na wazawa wenu Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Ninaweka agano langu nanyi na wazawa wenu Neno: Bibilia Takatifu “Sasa mimi ninaweka agano langu nanyi, pamoja na uzao wenu baada yenu, Neno: Maandiko Matakatifu “Sasa mimi ninaweka Agano langu nanyi, pamoja na uzao wenu baada yenu, BIBLIA KISWAHILI Tazama, nilithibitisha agano langu nanyi; tena na uzao wenu baada yenu; |
katika kubariki nitakubariki, na katika kuzidisha nitauzidisha uzao wako kama nyota za mbinguni, na kama mchanga ulioko pwani; na uzao wako utamiliki lango la adui zao;
Lakini nitafanya agano langu nawe kuwa thabiti; nawe utaingia katika safina, wewe, na wanao, na mkeo, na wake za wanao, pamoja nawe.
tena na kila kiumbe hai kilichoko pamoja nanyi, ndege, na mnyama wa kufugwa, na kila mnyama wa mwitu katika nchi pamoja nanyi; wote wanaotoka katika safina, hata kila kilicho hai katika nchi.
Na agano langu nitalithibitisha nanyi; wala kila chenye mwili hakitafutwa tena kwa maji ya gharika; wala hakutakuwa tena gharika, baada ya hayo, kuiharibu nchi.
Mungu akamwambia Nuhu, Hii ndiyo ishara ya agano nililoliweka kati yangu na watu wote walioko katika nchi.
BWANA asema hivi, Kama mkiweza kulivunja agano langu la mchana, na agano langu la usiku, hata usiwepo tena mchana na usiku kwa wakati wake,