Mwanzo 9:9 - Swahili Revised Union Version9 Tazama, nilithibitisha agano langu nanyi; tena na uzao wenu baada yenu; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 “Ninaweka agano langu nanyi na wazawa wenu Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 “Ninaweka agano langu nanyi na wazawa wenu Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 “Ninaweka agano langu nanyi na wazawa wenu Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 “Sasa mimi ninaweka agano langu nanyi, pamoja na uzao wenu baada yenu, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 “Sasa mimi ninaweka Agano langu nanyi, pamoja na uzao wenu baada yenu, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Tazama, nilithibitisha agano langu nanyi; tena na uzao wenu baada yenu; Tazama sura |