Siku ile BWANA akafanya agano na Abramu, akasema, Uzao wako nimewapa nchi hii, kutoka mto wa Misri mpaka huo mto mkubwa, mto Frati,
Mwanzo 9:8 - Swahili Revised Union Version Mungu akamwambia Nuhu, na wanawe pamoja naye, akisema, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kisha Mungu akamwambia Noa na wanawe, Biblia Habari Njema - BHND Kisha Mungu akamwambia Noa na wanawe, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kisha Mungu akamwambia Noa na wanawe, Neno: Bibilia Takatifu Ndipo Mungu akamwambia Nuhu na wanawe pamoja naye: Neno: Maandiko Matakatifu Ndipo Mungu akamwambia Nuhu na wanawe pamoja naye: BIBLIA KISWAHILI Mungu akamwambia Nuhu, na wanawe pamoja naye, akisema, |
Siku ile BWANA akafanya agano na Abramu, akasema, Uzao wako nimewapa nchi hii, kutoka mto wa Misri mpaka huo mto mkubwa, mto Frati,