Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuimiliki; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi.
Mwanzo 6:1 - Swahili Revised Union Version Ikawa wanadamu walipoanza kuzidi usoni pa nchi na wana wa kike walizaliwa kwao, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Binadamu walipozidi kuongezeka duniani na kuzaa wasichana, Biblia Habari Njema - BHND Binadamu walipozidi kuongezeka duniani na kuzaa wasichana, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Binadamu walipozidi kuongezeka duniani na kuzaa wasichana, Neno: Bibilia Takatifu Idadi ya watu ilipoanza kuongezeka duniani, na watoto wa kike wakazaliwa kwao, Neno: Maandiko Matakatifu Watu walipoanza kuongezeka idadi katika uso wa dunia na watoto wa kike wakazaliwa kwao, BIBLIA KISWAHILI Ikawa wanadamu walipoanza kuzidi usoni pa nchi na wana wa kike walizaliwa kwao, |
Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuimiliki; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi.
wana wa Mungu waliwaona hao binti za wanadamu ya kuwa ni wazuri; wakajitwalia wake wowote waliowachagua.