Adamu akamjua mke wake tena; akazaa mwana mwanamume, akamwita jina lake Sethi; maana alisema, Mungu ameniwekea uzao mwingine mahali pa Habili; kwa sababu Kaini alimwua.
Mwanzo 5:6 - Swahili Revised Union Version Sethi akaishi miaka mia moja na mitano, akamzaa Enoshi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Sethi alipokuwa na umri wa miaka 105, alimzaa Enoshi. Biblia Habari Njema - BHND Sethi alipokuwa na umri wa miaka 105, alimzaa Enoshi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Sethi alipokuwa na umri wa miaka 105, alimzaa Enoshi. Neno: Bibilia Takatifu Sethi alipokuwa ameishi miaka mia moja na tano, akamzaa Enoshi. Neno: Maandiko Matakatifu Sethi alipokuwa ameishi miaka 105, akamzaa Enoshi. BIBLIA KISWAHILI Sethi akaishi miaka mia moja na mitano, akamzaa Enoshi. |
Adamu akamjua mke wake tena; akazaa mwana mwanamume, akamwita jina lake Sethi; maana alisema, Mungu ameniwekea uzao mwingine mahali pa Habili; kwa sababu Kaini alimwua.
Sethi naye akazaa mwana; akamwita jina lake Enoshi. Hapo ndipo watu walipoanza kuliitia Jina la BWANA.
Sethi akaishi baada ya kumzaa Enoshi miaka mia nane na saba, akazaa wana, wa kiume na wa kike.