Mwanzo 5:6 - Swahili Revised Union Version6 Sethi akaishi miaka mia moja na mitano, akamzaa Enoshi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Sethi alipokuwa na umri wa miaka 105, alimzaa Enoshi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Sethi alipokuwa na umri wa miaka 105, alimzaa Enoshi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Sethi alipokuwa na umri wa miaka 105, alimzaa Enoshi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Sethi alipokuwa ameishi miaka mia moja na tano, akamzaa Enoshi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Sethi alipokuwa ameishi miaka 105, akamzaa Enoshi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Sethi akaishi miaka mia moja na mitano, akamzaa Enoshi. Tazama sura |