Mwanzo 5:15 - Swahili Revised Union Version Mahalaleli akaishi miaka sitini na mitano, akamzaa Yaredi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mahalaleli alipokuwa na umri wa miaka 65, alimzaa Yaredi. Biblia Habari Njema - BHND Mahalaleli alipokuwa na umri wa miaka 65, alimzaa Yaredi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mahalaleli alipokuwa na umri wa miaka 65, alimzaa Yaredi. Neno: Bibilia Takatifu Mahalaleli alipokuwa ameishi miaka sitini na tano, akamzaa Yaredi. Neno: Maandiko Matakatifu Mahalaleli alipokuwa ameishi miaka sitini na mitano, akamzaa Yaredi. BIBLIA KISWAHILI Mahalaleli akaishi miaka sitini na mitano, akamzaa Yaredi. |
Mahalaleli akaishi baada ya kumzaa Yaredi miaka mia nane na thelathini, akazaa wana, wa kiume na wa kike.