Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 5:14 - Swahili Revised Union Version

14 Siku zote za Kenani ni miaka mia tisa na kumi, akafa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Kenani alifariki akiwa na umri wa miaka 910.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Kenani alifariki akiwa na umri wa miaka 910.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Kenani alifariki akiwa na umri wa miaka 910.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Kenani aliishi jumla ya miaka mia tisa na kumi, ndipo akafa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Kenani aliishi jumla ya miaka 910, ndipo akafa.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

14 Siku zote za Kenani ni miaka mia tisa na kumi, akafa.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 5:14
3 Marejeleo ya Msalaba  

Kenani akaishi baada ya kumzaa Mahalaleli miaka mia nane na arubaini, akazaa wana, wa kiume na wa kike.


Mahalaleli akaishi miaka sitini na mitano, akamzaa Yaredi.


Siku zote za Adamu alizoishi ni miaka mia tisa na thelathini, naye akafa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo