Naye akamwambia maneno yayo hayo, akisema, Yule mtumwa Mwebrania uliyemleta kwetu, aliingia kwangu anidhihaki.
Mwanzo 39:18 - Swahili Revised Union Version Ikawa nilipopaza sauti yangu, nikalia, akaacha nguo yake kwangu akakimbia nje. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini mara tu nilipopiga kelele, aliliacha vazi lake na kukimbilia nje.” Biblia Habari Njema - BHND Lakini mara tu nilipopiga kelele, aliliacha vazi lake na kukimbilia nje.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini mara tu nilipopiga kelele, aliliacha vazi lake na kukimbilia nje.” Neno: Bibilia Takatifu Lakini mara nilipopiga yowe kuomba msaada, akaliacha vazi lake kando yangu, akakimbia nje ya nyumba.” Neno: Maandiko Matakatifu Lakini mara nilipopiga kelele kuomba msaada, akaliacha vazi lake kando yangu akakimbia nje ya nyumba.” BIBLIA KISWAHILI Ikawa nilipopaza sauti yangu, nikalia, akaacha nguo yake kwangu akakimbia nje. |
Naye akamwambia maneno yayo hayo, akisema, Yule mtumwa Mwebrania uliyemleta kwetu, aliingia kwangu anidhihaki.
Ikawa bwana wake aliposikia maneno aliyoambia na mkewe, akisema, Mtumwa wako amenitendea mambo kama haya, hasira yake ikawaka.