nami nitakuapisha kwa BWANA, Mungu wa mbingu, na Mungu wa nchi, kwamba hutamtwalia mwanangu mke katika binti za Wakanaani ambao nakaa kati yao;
Mwanzo 28:8 - Swahili Revised Union Version Esau akaona ya kuwa binti za Kanaani hawakumpendeza Isaka, baba yake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, Esau akafahamu kwamba baba yake hapendezwi na wanawake wa Kanaani. Biblia Habari Njema - BHND Basi, Esau akafahamu kwamba baba yake hapendezwi na wanawake wa Kanaani. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, Esau akafahamu kwamba baba yake hapendezwi na wanawake wa Kanaani. Neno: Bibilia Takatifu Esau akatambua jinsi baba yake Isaka alivyowachukia binti za Wakanaani. Neno: Maandiko Matakatifu Esau akatambua jinsi ambavyo baba yake Isaka anavyowachukia binti za Wakanaani. BIBLIA KISWAHILI Esau akaona ya kuwa binti za Kanaani hawakumpendeza Isaka, baba yake. |
nami nitakuapisha kwa BWANA, Mungu wa mbingu, na Mungu wa nchi, kwamba hutamtwalia mwanangu mke katika binti za Wakanaani ambao nakaa kati yao;
Rebeka akamwambia Isaka, Rohoni mwangu sina raha kwa sababu ya hao binti za Hethi. Kama Yakobo akitwaa mke katika binti za Hethi, kama hawa binti za nchi, maisha yangu yatanifaidi nini?
Basi Isaka akamwita Yakobo, akambariki, akamwagiza akamwambia, Usitwae mke wa binti za Kanaani.
Lakini neno hilo likawa baya machoni pa Samweli, waliposema, Tupe mfalme atuamue. Naye Samweli akamwomba BWANA.