Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 28:8 - Swahili Revised Union Version

8 Esau akaona ya kuwa binti za Kanaani hawakumpendeza Isaka, baba yake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Basi, Esau akafahamu kwamba baba yake hapendezwi na wanawake wa Kanaani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Basi, Esau akafahamu kwamba baba yake hapendezwi na wanawake wa Kanaani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Basi, Esau akafahamu kwamba baba yake hapendezwi na wanawake wa Kanaani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Esau akatambua jinsi baba yake Isaka alivyowachukia binti za Wakanaani.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Esau akatambua jinsi ambavyo baba yake Isaka anavyowachukia binti za Wakanaani.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

8 Esau akaona ya kuwa binti za Kanaani hawakumpendeza Isaka, baba yake.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 28:8
6 Marejeleo ya Msalaba  

nami nitakuapisha kwa BWANA, Mungu wa mbingu, na Mungu wa nchi, kwamba hutamtwalia mwanangu mke katika binti za Wakanaani ambao nakaa kati yao;


Rebeka akamwambia Isaka, Rohoni mwangu sina raha kwa sababu ya hao binti za Hethi. Kama Yakobo akitwaa mke katika binti za Hethi, kama hawa binti za nchi, maisha yangu yatanifaidi nini?


Basi Isaka akamwita Yakobo, akambariki, akamwagiza akamwambia, Usitwae mke wa binti za Kanaani.


na ya kuwa Yakobo amewatii babaye na mamaye, akaenda Padan-aramu.


Lakini neno hilo likawa baya machoni pa Samweli, waliposema, Tupe mfalme atuamue. Naye Samweli akamwomba BWANA.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo