Miaka hii ishirini nimekaa kwako; kondoo wako wala mbuzi wako wa kike hawakuharibu mimba wala wa kiume katika wanyama wako sikuwala.
Mwanzo 27:44 - Swahili Revised Union Version ukae kwake siku chache, hadi ghadhabu ya ndugu yako iishe; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kaa naye kwa muda, mpaka ghadhabu ya nduguyo itakapopoa. Biblia Habari Njema - BHND Kaa naye kwa muda, mpaka ghadhabu ya nduguyo itakapopoa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kaa naye kwa muda, mpaka ghadhabu ya nduguyo itakapopoa. Neno: Bibilia Takatifu Ukae naye kwa muda hadi ghadhabu ya ndugu yako itulie. Neno: Maandiko Matakatifu Ukae naye kwa muda mpaka ghadhabu ya ndugu yako itulie. BIBLIA KISWAHILI ukae kwake siku chache, hadi ghadhabu ya ndugu yako iishe; |
Miaka hii ishirini nimekaa kwako; kondoo wako wala mbuzi wako wa kike hawakuharibu mimba wala wa kiume katika wanyama wako sikuwala.
Miaka hii ishirini nimekaa nyumbani mwako; nilikutumikia miaka kumi na minne kwa binti zako wawili, na miaka sita kwa wanyama wako, nawe umebadili mshahara wangu mara kumi.
Kwa maana Bwana, MUNGU wa majeshi, ndiye aigusaye nchi, nayo ikayeyuka, na wote wakaao ndani yake wataomboleza; nayo itainuka yote pia kama Nili, nayo itakupwa tena kama Mto wa Misri.