Mwanzo 27:44 - Swahili Revised Union Version44 ukae kwake siku chache, hadi ghadhabu ya ndugu yako iishe; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema44 Kaa naye kwa muda, mpaka ghadhabu ya nduguyo itakapopoa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND44 Kaa naye kwa muda, mpaka ghadhabu ya nduguyo itakapopoa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza44 Kaa naye kwa muda, mpaka ghadhabu ya nduguyo itakapopoa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu44 Ukae naye kwa muda hadi ghadhabu ya ndugu yako itulie. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu44 Ukae naye kwa muda mpaka ghadhabu ya ndugu yako itulie. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI44 ukae kwake siku chache, hadi ghadhabu ya ndugu yako iishe; Tazama sura |