Amosi 9:5 - Swahili Revised Union Version5 Kwa maana Bwana, MUNGU wa majeshi, ndiye aigusaye nchi, nayo ikayeyuka, na wote wakaao ndani yake wataomboleza; nayo itainuka yote pia kama Nili, nayo itakupwa tena kama Mto wa Misri. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Bwana Mwenyezi-Mungu wa majeshi, anaigusa ardhi nayo inatetemeka na wakazi wake wanaomboleza; dunia nzima inapanda na kushuka kama kujaa na kupwa kwa mto Nili wa Misri. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Bwana Mwenyezi-Mungu wa majeshi, anaigusa ardhi nayo inatetemeka na wakazi wake wanaomboleza; dunia nzima inapanda na kushuka kama kujaa na kupwa kwa mto Nili wa Misri. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Bwana Mwenyezi-Mungu wa majeshi, anaigusa ardhi nayo inatetemeka na wakazi wake wanaomboleza; dunia nzima inapanda na kushuka kama kujaa na kupwa kwa mto Nili wa Misri. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni, yeye agusaye dunia nayo ikayeyuka, na wote wanaoishi ndani yake wakaomboleza: nayo nchi yote huinuka kama Mto Naili, kisha hushuka kama mto wa Misri; Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Bwana, bwana Mwenye Nguvu Zote, yeye agusaye dunia nayo ikayeyuka, na wote wakaao ndani mwake wakaomboleza: nayo nchi yote huinuka kama Naili, kisha hushuka kama mto wa Misri; Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Kwa maana Bwana, MUNGU wa majeshi, ndiye aigusaye nchi, nayo ikayeyuka, na wote wakaao ndani yake wataomboleza; nayo itainuka yote pia kama Nili, nayo itakupwa tena kama Mto wa Misri. Tazama sura |