Alikuwa hodari kuwinda wanyama mbele za BWANA. Kwa hiyo watu hunena, Kama Nimrodi, hodari wa kuwinda wanyama mbele za BWANA.
Mwanzo 27:3 - Swahili Revised Union Version Basi, nakuomba, chukua uta wako, podo lako na upinde wako, ukaende nyikani uniwindie mawindo; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, chukua silaha zako, yaani podo na upinde wako, uende porini ukaniwindie mnyama. Biblia Habari Njema - BHND Basi, chukua silaha zako, yaani podo na upinde wako, uende porini ukaniwindie mnyama. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, chukua silaha zako, yaani podo na upinde wako, uende porini ukaniwindie mnyama. Neno: Bibilia Takatifu Sasa basi chukua silaha zako, podo na upinde, uende nyikani, ukaniwindie mawindo. Neno: Maandiko Matakatifu Sasa basi, chukua silaha zako, podo na upinde, uende nyikani, ukawinde nyama pori kwa ajili yangu. BIBLIA KISWAHILI Basi, nakuomba, chukua uta wako, podo lako na upinde wako, ukaende nyikani uniwindie mawindo; |
Alikuwa hodari kuwinda wanyama mbele za BWANA. Kwa hiyo watu hunena, Kama Nimrodi, hodari wa kuwinda wanyama mbele za BWANA.
ukaniandalie chakula kitamu namna ile niipendayo, ukaniletee, ili nile; na roho yangu ikubariki, kabla sijafa.
Mtu atakayekwenda huko atakwenda na mishale na upinde; kwa sababu nchi yote itakuwa ina mbigili na miiba.
Vitu vyote ni halali kwangu, lakini si vyote vifaavyo; vitu vyote ni halali kwangu, lakini mimi sitatiwa chini ya uwezo wa kitu chochote.