Mwanzo 27:3 - Swahili Revised Union Version3 Basi, nakuomba, chukua uta wako, podo lako na upinde wako, ukaende nyikani uniwindie mawindo; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Basi, chukua silaha zako, yaani podo na upinde wako, uende porini ukaniwindie mnyama. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Basi, chukua silaha zako, yaani podo na upinde wako, uende porini ukaniwindie mnyama. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Basi, chukua silaha zako, yaani podo na upinde wako, uende porini ukaniwindie mnyama. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Sasa basi chukua silaha zako, podo na upinde, uende nyikani, ukaniwindie mawindo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Sasa basi, chukua silaha zako, podo na upinde, uende nyikani, ukawinde nyama pori kwa ajili yangu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Basi, nakuomba, chukua uta wako, podo lako na upinde wako, ukaende nyikani uniwindie mawindo; Tazama sura |