Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 27:2 - Swahili Revised Union Version

2 Akasema, Tazama, sasa mimi nimekuwa mzee, wala sijui siku ya kufa kwangu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Isaka akasema, “Tazama, mimi ni mzee, wala siku ya kufa kwangu siijui.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Isaka akasema, “Tazama, mimi ni mzee, wala siku ya kufa kwangu siijui.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Isaka akasema, “Tazama, mimi ni mzee, wala siku ya kufa kwangu siijui.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Isaka akasema, “Mimi sasa ni mzee na sijui siku ya kufa kwangu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Isaka akasema, “Mimi sasa ni mzee na sijui siku ya kifo changu.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

2 Akasema, Tazama, sasa mimi nimekuwa mzee, wala sijui siku ya kufa kwangu.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 27:2
10 Marejeleo ya Msalaba  

Basi, nakuomba, chukua uta wako, podo lako na upinde wako, ukaende nyikani uniwindie mawindo;


Siku za kufa kwake Israeli zikakaribia; akamwita mwanawe Yusufu, akamwambia, Kama nimeona kibali machoni pako, weka mkono wako chini ya paja langu, ukanifanyie rehema na kweli; nakusihi usinizike katika Misri.


Israeli akamwambia Yusufu, Angalia, mimi ninakufa, lakini Mungu atakuwa pamoja nanyi, naye atawarudisha mpaka nchi ya baba zenu.


Usijisifu kwa ajili ya kesho; Kwa maana hujui yatakayozaliwa na siku moja.


Lolote mkono wako utakalolipata kulifanya, ulifanye kwa nguvu zako; kwa kuwa hakuna kazi, wala shauri, wala maarifa, wala hekima, huko kuzimu uendako wewe.


Siku hizo Hezekia aliugua, akawa karibu kufa; na Isaya nabii, mwana wa Amozi, akaenda kwa mfalme, akamwambia, BWANA asema hivi, Tengeneza mambo ya nyumba yako; maana utakufa, wala hutapona.


akasema, Ee BWANA, kumbuka haya, nakusihi, kwamba nimekwenda mbele zako katika kweli na kwa moyo mkamilifu, na kutenda yaliyo mema machoni pako. Hezekia akalia kwa uchungu.


Kesheni basi, kwa maana hamjui ajapo bwana wa nyumba, kwamba ni jioni, au kwamba ni usiku wa manane, au awikapo jogoo, au asubuhi;


lakini hamjui yatakayokuwako kesho. Uzima wenu ni nini? Maana ninyi ni mvuke uonekanao kwa muda mfupi tu, kisha hutoweka.


Daudi akaapa, akasema, Baba yako anajua sana ya kuwa nimeona kibali machoni pako, naye asema, Yonathani asilijue neno hili, asije akahuzunika; lakini ni kweli, aishivyo BWANA, na iishivyo roho yako, iko hatua moja tu kati ya mimi na mauti.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo