Ikawa walipomtoa nje, mmoja alisema, Jiponye nafsi yako usitazame nyuma, wala usisimame katika hilo bonde popote; ujiponye mlimani, usije ukaangamia.
Mwanzo 19:18 - Swahili Revised Union Version Lutu akawaambia, Sivyo, bwana wangu! Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Loti akawaambia, “La, bwana zangu! Biblia Habari Njema - BHND Loti akawaambia, “La, bwana zangu! Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Loti akawaambia, “La, bwana zangu! Neno: Bibilia Takatifu Lakini Lutu akawajibu, “La hasha, bwana zangu, tafadhalini! Neno: Maandiko Matakatifu Lakini Lutu akawajibu, “La hasha, bwana zangu, tafadhalini! BIBLIA KISWAHILI Lutu akawaambia, Sivyo, bwana wangu! |
Ikawa walipomtoa nje, mmoja alisema, Jiponye nafsi yako usitazame nyuma, wala usisimame katika hilo bonde popote; ujiponye mlimani, usije ukaangamia.
Tazama, mtumwa wako ameona kibali machoni pako, nawe umezidisha rehema zako ulizonifanyia kwa kuponya nafsi yangu, nami siwezi kukimbilia mlimani nisipatwe na yale mabaya, nikafa.
BWANA, Mtakatifu wa Israeli, na Muumba wake, asema hivi; Niulize habari za mambo yatakayokuja; mambo ya wana wangu, na habari ya kazi ya mikono yangu; haya! Niagizeni.
Lakini Petro akasema, La, hasha! Bwana, kwa maana sijawahi kula kitu kilicho kichafu au najisi.
Lakini Anania akajibu, Bwana, nimesikia habari za mtu huyu kwa watu wengi, mabaya mengi aliyowatenda watakatifu wako Yerusalemu;