Hajiri akamzalia Abramu mwana wa kiume; Abramu akamwita jina lake Ishmaeli, yule mwanawe, ambaye Hajiri alimzaa.
Mwanzo 17:25 - Swahili Revised Union Version Na Ishmaeli mwanawe alikuwa mtu wa miaka kumi na mitatu, alipotahiriwa nyama ya govi lake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Na Ishmaeli mwanawe alikuwa na umri wa miaka 13 alipotahiriwa. Biblia Habari Njema - BHND Na Ishmaeli mwanawe alikuwa na umri wa miaka 13 alipotahiriwa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Na Ishmaeli mwanawe alikuwa na umri wa miaka 13 alipotahiriwa. Neno: Bibilia Takatifu naye Ishmaeli mwanawe alitahiriwa akiwa na umri wa miaka kumi na tatu. Neno: Maandiko Matakatifu naye Ishmaeli mwanawe alitahiriwa akiwa na umri wa miaka kumi na mitatu. BIBLIA KISWAHILI Na Ishmaeli mwanawe alikuwa mtu wa miaka kumi na mitatu, alipotahiriwa nyama ya govi lake. |
Hajiri akamzalia Abramu mwana wa kiume; Abramu akamwita jina lake Ishmaeli, yule mwanawe, ambaye Hajiri alimzaa.
Naye Abramu alikuwa mtu wa miaka themanini na sita, hapo Hajiri alipomzalia Abramu Ishmaeli.