Mwanzo 17:25 - Swahili Revised Union Version25 Na Ishmaeli mwanawe alikuwa mtu wa miaka kumi na mitatu, alipotahiriwa nyama ya govi lake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Na Ishmaeli mwanawe alikuwa na umri wa miaka 13 alipotahiriwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Na Ishmaeli mwanawe alikuwa na umri wa miaka 13 alipotahiriwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Na Ishmaeli mwanawe alikuwa na umri wa miaka 13 alipotahiriwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 naye Ishmaeli mwanawe alitahiriwa akiwa na umri wa miaka kumi na tatu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 naye Ishmaeli mwanawe alitahiriwa akiwa na umri wa miaka kumi na mitatu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI25 Na Ishmaeli mwanawe alikuwa mtu wa miaka kumi na mitatu, alipotahiriwa nyama ya govi lake. Tazama sura |