Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 17:26 - Swahili Revised Union Version

26 Siku ile ile akatahiriwa Abrahamu na Ishmaeli mwanawe.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

26 Abrahamu na mwanawe Ishmaeli

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

26 Abrahamu na mwanawe Ishmaeli

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

26 Abrahamu na mwanawe Ishmaeli

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

26 Ibrahimu na Ishmaeli mwanawe walitahiriwa siku hiyo hiyo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

26 Ibrahimu na Ishmaeli mwanawe walitahiriwa siku ile ile,

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

26 Siku ile ile akatahiriwa Abrahamu na Ishmaeli mwanawe.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 17:26
5 Marejeleo ya Msalaba  

Basi Abramu akaenda, kama BWANA alivyomwamuru; Lutu akaenda pamoja naye. Naye Abramu alikuwa mtu wa miaka sabini na mitano alipotoka Harani.


Na Ishmaeli mwanawe alikuwa mtu wa miaka kumi na mitatu, alipotahiriwa nyama ya govi lake.


Na watu wote wa nyumba yake, wazaliwa nyumbani, na wanunuliwa kwa fedha katika mkono wa mgeni, wakatahiriwa pamoja naye.


Nilifanya haraka wala sikukawia, Kuyatii maagizo yako.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo