Mwanzo 11:12 - Swahili Revised Union Version Arfaksadi akaishi miaka thelathini na mitano, akamzaa Sela. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Arfaksadi alipokuwa na umri wa miaka 35, alimzaa Shela. Biblia Habari Njema - BHND Arfaksadi alipokuwa na umri wa miaka 35, alimzaa Shela. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Arfaksadi alipokuwa na umri wa miaka 35, alimzaa Shela. Neno: Bibilia Takatifu Arfaksadi alipokuwa ameishi miaka thelathini na tano, akamzaa Shela. Neno: Maandiko Matakatifu Wakati Arfaksadi alipokuwa na miaka thelathini na mitano, akamzaa Shela. BIBLIA KISWAHILI Arfaksadi akaishi miaka thelathini na mitano, akamzaa Sela. |
Shemu akaishi baada ya kumzaa Arfaksadi miaka mia tano, akazaa wana, wa kiume na wa kike.
Arfaksadi akaishi baada ya kumzaa Sela miaka mia nne na mitatu, akazaa wana, wa kiume na wa kike.