Mwanzo 10:30 - Swahili Revised Union Version Makao yao yalikuwa kutoka Mesha kwa njia ya Sefari, mlima wa mashariki. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nchi walimokaa ilienea toka Mesha mpaka Sefari katika nyanda za juu za mashariki. Biblia Habari Njema - BHND Nchi walimokaa ilienea toka Mesha mpaka Sefari katika nyanda za juu za mashariki. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nchi walimokaa ilienea toka Mesha mpaka Sefari katika nyanda za juu za mashariki. Neno: Bibilia Takatifu (Eneo waliloishi lilienea kutoka Mesha kuelekea Sefari, kwenye nchi ya vilima iliyo mashariki.) Neno: Maandiko Matakatifu Nchi waliyoishi ilienea toka Mesha kuelekea Sefari kwenye nchi ya vilima iliyoko mashariki. BIBLIA KISWAHILI Makao yao yalikuwa kutoka Mesha kwa njia ya Sefari, mlima wa mashariki. |
Hao ndio wana wa Shemu, kufuata jamaa zao, na lugha zao, katika nchi zao, kufuata mataifa yao.
Akatunga mithali yake, akasema, Balaki amenileta kutoka Aramu, Mfalme wa Moabu kutoka milima ya mashariki, Njoo! Unilaanie Yakobo, Njoo! Unishutumie Israeli.