Mwanzo 10:30 - Swahili Revised Union Version30 Makao yao yalikuwa kutoka Mesha kwa njia ya Sefari, mlima wa mashariki. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Nchi walimokaa ilienea toka Mesha mpaka Sefari katika nyanda za juu za mashariki. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Nchi walimokaa ilienea toka Mesha mpaka Sefari katika nyanda za juu za mashariki. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Nchi walimokaa ilienea toka Mesha mpaka Sefari katika nyanda za juu za mashariki. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 (Eneo waliloishi lilienea kutoka Mesha kuelekea Sefari, kwenye nchi ya vilima iliyo mashariki.) Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 Nchi waliyoishi ilienea toka Mesha kuelekea Sefari kwenye nchi ya vilima iliyoko mashariki. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI30 Makao yao yalikuwa kutoka Mesha kwa njia ya Sefari, mlima wa mashariki. Tazama sura |