Mwanzo 10:31 - Swahili Revised Union Version31 Hao ndio wana wa Shemu, kufuata jamaa zao, na lugha zao, katika nchi zao, kufuata mataifa yao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema31 Hao ndio wazawa wa Shemu, kadiri ya makabila yao, lugha zao, nchi zao na mataifa yao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND31 Hao ndio wazawa wa Shemu, kadiri ya makabila yao, lugha zao, nchi zao na mataifa yao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza31 Hao ndio wazawa wa Shemu, kadiri ya makabila yao, lugha zao, nchi zao na mataifa yao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu31 Hao ndio wana wa Shemu kwa koo zao na lugha zao, katika nchi zao na mataifa yao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu31 Hao ndio wana wa Shemu kwa koo zao na lugha zao, katika nchi zao na mataifa yao. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI31 Hao ndio wana wa Shemu, kufuata jamaa zao, na lugha zao, katika nchi zao, kufuata mataifa yao. Tazama sura |