Mwanzo 10:17 - Swahili Revised Union Version na Mhivi, na Mwarki, na Msini, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wahivi, Waarki, Wasini, Biblia Habari Njema - BHND Wahivi, Waarki, Wasini, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wahivi, Waarki, Wasini, Neno: Bibilia Takatifu Wahivi, Waarki, Wasini, Neno: Maandiko Matakatifu Wahivi, Waariki, Wasini, BIBLIA KISWAHILI na Mhivi, na Mwarki, na Msini, |
Shekemu, mwana wa Hamori, Mhivi, mkuu wa nchi, akamwona akamtwaa, akalala naye, akambikiri.
Basi kwa habari ya watu wote waliosalia wa Wahiti, na wa Waamori, na wa Waperizi, na wa Wahivi, na wa Wayebusi, wasiokuwa wa Israeli;
Basi watu wa Israeli wakawaambia hao Wahivi, Labda mnakaa kati yetu; nasi tutawezaje kufanya agano nanyi?