Upepo huvuma kuelekea kusini, kisha huvuma kuelekea kaskazini; hugeuka daima katika mwendo wake, nao huyarudia mazunguko yake.
Mhubiri 1:7 - Swahili Revised Union Version Mito yote huingia baharini, lakini bahari haijai; huko iendako mito, ndiko irudiko tena. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mito yote hutiririkia baharini, lakini bahari kamwe haijai; huko ambako mito hutiririkia ndiko huko inakotoka tena. Biblia Habari Njema - BHND Mito yote hutiririkia baharini, lakini bahari kamwe haijai; huko ambako mito hutiririkia ndiko huko inakotoka tena. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mito yote hutiririkia baharini, lakini bahari kamwe haijai; huko ambako mito hutiririkia ndiko huko inakotoka tena. Neno: Bibilia Takatifu Mito yote hutiririka baharini, hata hivyo bahari kamwe haijai. Mahali mito inapotoka, huko hurudi tena. Neno: Maandiko Matakatifu Mito yote hutiririka baharini, hata hivyo bahari kamwe haijai. Mahali mito inapotoka, huko hurudi tena. BIBLIA KISWAHILI Mito yote huingia baharini, lakini bahari haijai; huko iendako mito, ndiko irudiko tena. |
Upepo huvuma kuelekea kusini, kisha huvuma kuelekea kaskazini; hugeuka daima katika mwendo wake, nao huyarudia mazunguko yake.
Mambo yote yamejaa uchovu usioneneka, jicho halishibi kuona, wala sikio halikinai kusikia.