Wakati nilipotoka kwenda mjini, kupitia langoni, Nilipokitengeza kiti changu katika njia kuu,
Methali 8:3 - Swahili Revised Union Version Karibu na malango, mahali pa kuingia mjini, Mahali pa kuyaingilia malango anapiga kelele. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Karibu na malango ya kuingilia mjini, mahali wanapoingia watu anaita kwa sauti: Biblia Habari Njema - BHND Karibu na malango ya kuingilia mjini, mahali wanapoingia watu anaita kwa sauti: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Karibu na malango ya kuingilia mjini, mahali wanapoingia watu anaita kwa sauti: Neno: Bibilia Takatifu kando ya malango yaelekeayo mjini, kwenye maingilio, hulia kwa sauti kubwa, akisema: Neno: Maandiko Matakatifu kando ya malango yaelekeayo mjini, kwenye maingilio, hulia kwa sauti kubwa, akisema: BIBLIA KISWAHILI Karibu na malango, mahali pa kuingia mjini, Mahali pa kuyaingilia malango anapiga kelele. |
Wakati nilipotoka kwenda mjini, kupitia langoni, Nilipokitengeza kiti changu katika njia kuu,
Hulia penye mikutano mikubwa ya watu, Mahali pa kuyaingilia malango, Ndani ya mji hutamka maneno yake.
Yesu akamjibu, Mimi nimesema na ulimwengu waziwazi; sikuzote nilifundisha katika sinagogi na katika hekalu, wakusanyikapo Wayahudi wote; wala mimi sikusema neno lolote kwa siri.