Mathayo 22:9 - Swahili Revised Union Version9 Basi Nendeni hata njia panda za barabara, na wote mwaonao waiteni arusini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Basi, nendeni kwenye barabara na wowote wale mtakaowakuta waiteni waje harusini.’ Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Basi, nendeni kwenye barabara na wowote wale mtakaowakuta waiteni waje harusini.’ Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Basi, nendeni kwenye barabara na wowote wale mtakaowakuta waiteni waje harusini.’ Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Kwa hiyo nendeni katika njia panda mkamwalike karamuni yeyote mtakayemwona.’ Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Kwa hiyo nendeni katika njia panda mkamwalike karamuni yeyote mtakayemwona.’ Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Basi Nendeni hata njia panda za barabara, na wote mwaonao waiteni harusini. Tazama sura |