Methali 8:26 - Swahili Revised Union Version Alipokuwa hajaiumba dunia, wala mashamba Wala chanzo cha udongo wa dunia; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kabla Mungu hajaumba dunia na mashamba yake, wala chembe za kwanza za mavumbi ya dunia. Biblia Habari Njema - BHND Kabla Mungu hajaumba dunia na mashamba yake, wala chembe za kwanza za mavumbi ya dunia. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kabla Mungu hajaumba dunia na mashamba yake, wala chembe za kwanza za mavumbi ya dunia. Neno: Bibilia Takatifu kabla hajaumba dunia wala mashamba yake au vumbi lolote la dunia. Neno: Maandiko Matakatifu kabla hajaumba dunia wala mashamba yake au vumbi lolote la dunia. BIBLIA KISWAHILI Alipokuwa hajaiumba dunia, wala mashamba Wala chanzo cha udongo wa dunia; |